Header Ads Widget

BRIGEDIA MABONGO ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA TPC


 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu  Hassan  amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ocholla Mabongo, kuwa mwenyekiti wa bodi ya shirika la Posta Tanzania (TPC). 


Brigedia Jenerali Mabongo ni mkuu wa kitengo cha TEHAMA , Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga Taifa.


Uteuzi huo umeanza tarehe 24, Februari 2022. 



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS