Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi ratiba nzima ya mchakato wa kumpata mgombea wake wa nafasi ya Spika wa bunge kuwa 10-15 /1 /2022 Alasiri ni uchukuaji na urejeshaji ,17 /1/2022 sekretariet ya CCM itakutana na 18-19 /1/2022 kuchuja majina na 21-30/2022 upigaji kura ndani ya CCM amesema katibu wa itikadi na uenezi Taifa Shaka Hamdu Shaka
0 Comments