Header Ads Widget

HII NI POMBE YA ULANZI

 



Hii ni miti ya pombe ya asili aina ya ulanzi ni pombe yenye maajabu ya aini yake,ukitoka kugema ni kama chai ,ikilala siku moja ni kama bia na ikilala zaidi ya siku tano ni kama Konyagi na ni pombe ambayo baadhi ya watu wasio wema hutumia kutengeneza pombe haramu ya Moshi(gongo) 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI