Header Ads Widget

YA JUWE MAISHA YA MSANII MR.BEAN


Jina lake kamili anaitwa rown Atkinson alizaliwa mnamo mwaka 1956 ana urefu wa futi 2.5 alizaliwa katika mji mkuu wa inchini uingeleza London.
Ana familia ya mke mmoja na watoto watatu.
Kazi yake anayo ifanya niugizaji wa filamu za Hollywood amefanya vizuri tokea aanze kujulikana katika tasinia ya filamu inchini uingereza alianza kucheza filamu zake katika kituo kimoja  cha televisio huko uingereza na baadae kuingia katika uigizaji ambao ume mfanya kuwa maarufu duniani na filamu zilizo mtambulisha sana nikama vile:-
John English
Mr.bean
Holiday
Nazinginezo kazi yake hii ya uigizaji ime mfanya kuingiza kipato kikubwa sana nakiliki magari na majumba yakifahali
Endelea kufuatiria blog hii kila siku uweze kujuwa mengi zaidi

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI