Header Ads Widget

PICHA: SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA TUME YA UTUMISHI YA BUNGE LA NIGERIA


Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria waliomtembela  katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria, Injinia Ahmed Amshi



Spika wa Bunge,  Job Ndugai akikambidhi zawadi yenye mfano wa Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria, Injinia Ahmed Amshi tukio lililofanyika jana tarehe 4 Novemba 2021 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma,

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI