Header Ads Widget

HABARI PICHA; RC NYAMAGANA AFUNGUA SEMINA YA MAFUNZO YA USAFIRISHAJI

 

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, akifungua Semina ya mafunzo kwa wadau wa usafirishaji (hawapo pichani), kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018, yanayofanyika jijini Mwanza.

Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), mkoa wa Mwanza, Mhandisi Boniface Mkumbo, akisoma taarifa yake kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana (hayupo pichani),

Mtaalamu Kitengo cha Mizani kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Vicent Tarmo, akitoa elimu kwa wadau wa sekta ya usafirishaji,


Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi,  (aliyefunga kitambaa cha pinki), akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa usafirishaji katika Semina ya Mafunzo kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI