Header Ads Widget

HABARI PICHA ; RAIS SAMIA NA UJUMBE KUTOKA USWIS

 Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uswis.

Pia awasili Jijini Dar es salaam leo tarehe 26 Novemba 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uswisi ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bi. Patricia Danzi, wakati ujumbe huo ulipofika Jijini Dodoma leo tarehe 26 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uswisi ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bi. Patricia Danzi kushoto, wakati ujumbe huo ulipofika Jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea mkoani Dodoma  

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI