Header Ads Widget

WANJALA ALIYEUA WATU 10 KENYA AUWAWA



 WANANCHI wenye hasira Kali Raia wa Kenya wamemuua Kwa kipigo kijana Masten Wanjala  ambaye alikiri Kosa la kuua watu 10 nchini humu kisha kukamatwa na polisi na kukiri kosa kabla ya kutoroka akiwa chini ya ulinzi wakati akisubiri kufikishwa mahakamani .

Wanjala ameuwawa Katika Kijiji cha Mukhwenya Bugoma .

"Kuna watoto walikuwa wakitoka shule walimuona  wakamtambua na wakatoa taarifa polisi alikimbilia kwenye Nyumba mmoja akajificha wananchi wenye hasira walivunja Nyumba hiyo na wakamtoa nje ndani ya dakika mbili walikuwa wamekwisha muua "

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI