Header Ads Widget

MAGAZETINI LEO JUMAMOSI MACHI 19/2022

Ahsante Kwa kuchagua Matukio Daima blog ,Karibu Sana ujiunge na familia ya Matukio Daima Media Kwa kupakua APP ya Matukio Daima kupitia Google Play store ni bure kabisa kupitia App hii utaweza kuunganishwa na habari zinazotolewa na media zetu ikiwemo blog , Instagram, Twitter na Online Tv karibu Sana pia Kwa huduma ya matangazo na habari wasiliana nasi Kwa simu 0754 026 2999

 



 WATU zaidi ya 13 waliokuwa wakisafiri na basi la Ahmeed kutoka Mbeya kwenda mkoani Tanga wanasadikika kuoteza maisha baada ya basi hilo kugongana uso Kwa USO na Lori mkoani Morogoro Jioni ya leo Ijumaa Machi 18/2022.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro ajali Fortunatus Musilimu alisema ajali hiyo imetokea eneo la Melela kibaoni njia panda ya Kilosa barabara kuu ya Iringa -Morogoro baada ya basi hilo kugongana na Lori lenye namba za IT likitokea Dar es Salaam.

Kuwa zoezi la kuondoa miili ya waliofariki kwenye ajali na majeruhi linaendelea .

Matukio Daima Media tunatoa pole nyingi Kwa wafiwa na Majeruhi wote .

Habari zaidi tutaendelea kukujuza kupitia Twitter ya Matukio Daima au APP ya Matukio Daima inayopatikana Google Play store

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI