Header Ads Widget

MAGAZETI LEO JUMATANO MACHI 23/2022:ASKOFU KKKT DAYOSISI YA KONDE AONDOLEWA MADARAKANI ,MRITHI WAKE APATIKANA

Ahsante Kwa kuchagua Matukio Daima blog ,Karibu Sana ujiunge na familia ya Matukio Daima Media Kwa kupakua APP ya Matukio Daima kupitia Google Play store ni bure kabisa kupitia App hii utaweza kuunganishwa na habari zinazotolewa na media zetu ikiwemo blog , Instagram, Twitter na Online Tv karibu Sana pia Kwa huduma ya matangazo na habari wasiliana nasi Kwa simu 0754 026 299

 

Askofu Mteule Godfrey Mwakihada 

WAJUMBE wa mkutano mkuu wa kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde  wamemuondoa madarakani aliyekuwa askofu wao Dr Edward Mwaikali na kumchagua mchungaji Godfrey Mwakihaba  kuwa askofu wa Dayosisi ya Konde na Mchungaji Njinga kuwa Msaidizi wake.

Hata hivyo duru za ndani za  Kanisa Hilo la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) zinadai kuwa kesho Kuna uwezekano mkubwa kufanyika press ambayo wachungaji wa Kanda ya Kyela  kuomba Dayosisi  Nyasa  .

Kutokana na askofu na Msaidizi wake na wakuu wa majimbo wote kutoka wilaya ya  Busokelo .

Msaidizi wa askofu Njinga (Mbeya ) mkuu wa Majimbo watatu wote kutoka  (Busokelo) huku Kyala nao wakikusudia kuwa na Dayosisi ya Ziwa Nyasa

Huku washarika wa Kanisa hilo wao wanadai suala la nani Katoka wapi haliwahusu wanachoamini wao ni Ulutheri wao ndio msingi wao .

Usikose kuendelea kufuatilia Matukio Daima Kwa habari zaidi





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI