Header Ads Widget

NAIBU KATIBU MKUU MADINI ATEMBELEA BANDA LA REA SABASABA


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo leo Julai 5, 2026 ametembelea na kuzungumza na wataalam waliopo kwenye banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati wa maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es salaam 

Akiwa katika banda la REA, Mbibo alielezwa kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya nishati safi ya kupikia na umeme vitongojini iliyotekelezwa na inayotekelezwa na REA katika maeneo hayo.





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI