Binti mwenye ulemavu wa ngozi Merita Chusi mkazi wa Mapanda wilaya ya Mufindi mkoani Iringa akitoka kuchanja kuni kama mradi wake wa kumpatia kipato ,binti huyu ni mmoja wa vijana 120 wanaotoka kaya zenye mazingira magumu wanaonufaika na mradi ya Youth Angecy In Mufindi (YAM) unaotekelezwa kwa ushirikiano na Halmashauri ya Mufindi picha na Francis Godwin






0 Comments