Mkulima wa Chai Kijiji cha Mkonge kata ya Luhunga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Keneth Msina akichuma chai jana Kwa kutumia Mashine maalum aliyoitengeneza Kwa kutumia mkasi na kopo la plastiki kama sahani ya kuhifadhia chai kupitia kifaa hicho anaweza kuchuma chai Hadi kilo 200 Kwa siku na bila Mashine hiyo huishia kilo 50 ama 100
Shamba la chai Mkonge Mufindi mkoani Iringa
Mkulima wa Chai Kijiji cha Mkonge kata ya Luhunga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Keneth Msina akichuma chai Leo Kwa kutumia Mashine maalum aliyoitengeneza Kwa kutumia mkasi na kopo la plastiki kama sahani ya kuhifadhia chai kupitia kifaa hicho anaweza kuchuma chai Hadi kilo 200 Kwa siku na bila Mashine hiyo huishia kilo 50 ama 100 Picha na Francis Godwin
Post a Comment
0
Comments
MAGAZETI
NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI
TV News
World News
UZA NUNUA NASI LEO
Subscribe Us
MATANGAZO
TIBA YA UKANDAJI WA MGONGO, KICHWA KUTOKA NEEMA BEAUTY, SPA SALOON
0 Comments