Header Ads Widget

KAZI INAENDELEA

 Mafundi wa kampuni ya kizalendo ya Dimetoclasa Realhope Limited ya wilayani Mufindi mkoani Iringa wakiendelea na ujenzi wa daraja eneo la Shayo kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa ,daraja litakalounganisha kata ya Mkimbizi -Mtwivila daraja hilo linajengwa kwa kiasi cha Tsh milioni 700,000  ujenzi wake unakwenda sanjari na barabara ya lami yenye urefu wa  km 5.1 inayojengwa kwa zaidi ya Tsh bilioni 22  fedha kutoka serikali kuu na benki ya Dunia picha na Francis Godwin  

TAZAMA PICHA YA VIDEO BOFYA LINK HII

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI