Balozi Dkt Chana amewapongeza wanawake wa mkoa wa Njombe kwa kujitokeza kwa wingi kuungana na wafanyakazi katika kunpokea mheshimiwa Rais Dkt Samia
Hata hivyo alipongeza hotuba nzuri ya Rais Dkt Samia kuwa imewagusa wengi na kuonesha kwa vitendo jinsi ambavyo serikali inavyowajali wafanyakazi nchini
Hata hivyo alisema pamoja na wafanyakazi kujitokeza kwa wingi bado wananchi wa Njombe walijitokeza kwa wingi kumpokea mheshimiwa Rais .









0 Comments