Header Ads Widget

PICHA YA KALI YA MWAKA 2026

Mkazi wa Iringa mjini Grevas Ndaki akitazama jana  ajali ya gari aina ya Rav 4 yenye namba za usajili T 435 AYW iliyokuwa ikiendeshwa na John Sanga iliyoacha nchia na kuigonga TAX yenye namba za usajili T510 AMZ iliyokuwa ikiendeshwa na Athuman Mussa Mkazi wa Mlandege mjini Iringa katika ajali hii hakuna madhara kwa binadamu huku chanzo ni mwendo kasi wa bila kuzingatia usalama wa barabarani wa dereva wa RAV4 picha na Francis Godwin ,Matukio Daima Media

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI