Header Ads Widget

WAJUMBE WA BODI YA UDHAMINI YA TANAPA WAKUTANA DODOMA KWA KIKAO MAALUM CHA 107


Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Jenerali George Marwa Waitara (Mkuu wa Majeshi Mstaafu) wamekutana leo Aprili 27, 2026 Jijini Dodoma kwa ajili ya kuanza kikao maalum cha 107 cha Bodi hiyo ambapo wameanza na Kikao cha Kamati ya Utalii na Huduma za Shirika chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo  Athuman Mahmoud Kwariko.

Picha mbalimbali kikao hicho:









Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI