Header Ads Widget

BODI YA WAKURUGENZI WA NCAA YAANZA NA VIKAO VYA NGAZI YA KAMATI YA KISEKTA


BODI ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mkuu wa Majeshi mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo imeanza vikao vya Bodi hiyo ngazi ya Kamati za Kisekta  kujadili utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya shirika kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita (Julai- Desemba 2025) mwaka  wa Fedha 2025/2026.

Unaofanyika Jijini Arusha.


Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Mhe. Kaika Saning'o Ole Telele (wa pili kutoka kushoto) akiwa na Wajumbe wa Kamati ya Uhifadhi, Utalii na Maendeleo ya Jamii katika Vikao vya Bodi ya Wakurugenzi Ngorongoro vinavyoendelea Jijini Arusha.





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI