Header Ads Widget

MKE WA RAIS MSTAAFU AFUNGWA MIAKA 20 JELA KWA WIZI WA FEDHA

 


Mke wa rais wa zamani wa Gabon, Sylvia Bongo Ondimba, na mwanawe Noureddin Bongo Valentin, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya wizi na ubadhirifu wa fedha za umma nchini Gabon. Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama Kuu ya Gabon baada ya kusikiliza ushahidi kwa siku mbili mfululizo.Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo, hukumu ilisomwa bila kuwepo kwa watuhumiwa wawili hao mahakamani. Mahakama ilibaini kuwa Sylvia na mwanawe walitumia vibaya madaraka na ushawishi

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI