Header Ads Widget

JAJI MKUU WA TANZANIA GEORGE MASAJU AKIMUAPISHA MHE DKT EMMANUEL NCHIMBI KUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Masaju akimuapisha Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Novemba 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akikabidhiwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Masaju, mara baada ya kuapishwa katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Novemba 2025.


 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI