Header Ads Widget

DKT. SAMIA AFANYA UTEUZI WA WABUNGE, YUMO GWAJIMA.


 



Na COSTANTINE MATHIAS.


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Mamlaka aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ameteuwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI