Header Ads Widget

BAADA YA MAMA YAKE KUFARIKI AUFICHA MWILI WAKE ILI AENDELEE KUFAIDI MAFAO

 


MWANAUME  wa miaka 56 akamatwa kwa kumficha mama yake aliyefariki ili kuendelea kupata pensheni

Mamlaka nchini Italia zimefichua tukio lisilo la kawaida ambapo Jamaa wa miaka 56 anaripotiwa kujifanya mamake aliyefariki ili kuendelea kupokea maelfu ya euro kutoka kwenye pensheni yake kwa kipindi cha miaka mitatu. Tukio hilo limepewa jina la "kashfa ya Mrs. Doubtfire" na vyombo vya habari vya Italia.

Kwa mujibu wa gazeti la Corriere della Sera, mwanamume huyo, ambaye hakutajwa kwa jina, aliamua kutoripoti kifo cha mamake, Graziella Dall'Oglio, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 82.

Badala yake, alificha mwili wa mama yake kwa kuuweka kwenye begi na kuuhifadhi katika chumba cha kufulia ndani ya nyumba yao ya familia. Kufikia wakati mamlaka walipogundua kilichotokea, mwili huo tayari ulikuwa umemumunyika na kuwa wa hali ya mummification.

Inadaiwa kuwa mwana huyo aliendelea kukusanya mafao ya pensheni ya mamake kwa miaka yote hiyo, kabla ya hatimaye ripoti za ujanja huo kugunduliwa na kuanzishwa uchunguzi rasmi.

Mamlaka zinaendelea kuchunguza tukio hilo kwa kina pamoja na kuandaa mashtaka yanayomkabili mtuhumiwa.

MJI WA IRINGA NI MJI MSAFI KULIKO WAGENI WENGI HUVUTIWA NA UTAMADUNI WA USAFI WA MJI WA IRINGA PIA MJI HUU UNA MAENEO MENGI MAZURI YA KUVUTIA ,HOTEL NZURI UKIWA MJI WA IRINGA NI LUMILO IPO MIYOMBONI NA LODGE NZURI NI LM IPO KICHANGANI .

LAKINI WAREMBO WENGI WAMEKUWA WAKITAKA KUJUA WAPI WANAWEZA PATA VIPODOZI ORIJINO KWA BEI POA HAPA NI  BEUATY  BY JOAN  WAPO  JENGO LA CCM MIYOMBONI IRINGA MJINI WANATAZAMANA NA MR HOTEL TUPIGIE  SIMU 0743843722 HAKIKA UTAUPENDA ZAIDI MJI WA IRINGA HUKU UKIPENDEZA NA UREMBO MZURI NA PAFYUMU NZURI TOKA ULAYA YENYE HARUFU NZURI YA KUVUTIA .

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI