Wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM tayari wamejitokeza kwa wingi wakiendelea na shamrashamra za kumsubiri na kumpokea mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae leo ataangaziwa kufanya mikutano ya kampeni katika kisiwa cha Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja
0 Comments