Header Ads Widget

NETANYAHU AJIBU HAMAS AKIADHIDI KUSHIRIKIANA NA TRUMP

 

Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetoa taarifa ya mistari miwili, ikisema kuwa nchi hiyo itashirikiana na Marekani kuhusu "mpango wa Trump" wa amani.

"Kwa kuzingatia majibu ya Hamas, Israel inajiandaa kutekeleza mara moja awamu ya kwanza ya mpango wa Trump wa kuachiliwa mara moja kwa mateka wote," Netanyahu alisema katika taarifa yake iliyotafsiriwa kutoka Kiebrania.

"Tutaendelea kufanya kazi kwa ushirikiano kamili na Rais na timu yake ili kumaliza vita kwa mujibu wa kanuni zilizowekwa na Israel ambazo zinaendana na maono ya Rais Trump."

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI