Header Ads Widget

SHUGHULI ZA MAZIKO ZAFANYIKA BAADA YA TAKRIBANI WATU 30 KUFARIKI DUNIA ETHIOPIA


Shughuli ya maziko inafanyika kufuatia vifo vya takribani watu 36 katika eneo la Amhara nchini Ethiopia.

Jukwaa lililojengwa katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam lilianguka waumini walipokusanyika kwa hafla ya kila mwaka ya kusherehekea Mt.Maria.

Inspekta wa polisi Ahmed Gebeyehu alisema huenda idadi ya waliofariki ikaongezeka, akiongeza kuwa waliothibitishwa kuwa wamefariki walikuwa na umri wa kati ya miaka 25 na 80.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI