Mwanahabari Mkoani Rukwa Elizabeth Ntambala afariki dunia .
Ntambala ameugua kwa muda mrefu amefia mkoani Rukwa taratibu za mazishi zinafanyika .
Matukio Daima Media tunaungana na wahabari wote Tanzania kutoa pole kwa familia ndugu jamaa na marafiki wote.
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe .
Amen
0 Comments