Familia ya Askofu Dkt Mpeli James Mwaisumbe inasikitika kutangaza Kifo cha baba yao Mpendwa Mchungaji James Mwaisumbe kilichotokea Jijini Mbeya Mazishi yatafanyika Ijumaa Septemba 5/2025 Jijini Mbeya .
Matukio Daima Media tunatoa pole nyingi kwa askofu Dkt Mpeli Mwaisumbe na mkewe Mch Neema Mwaisumbe,Dc Mstaafu Frank Mwaisumbe ,Mwanahabari Tukusuga Mwaidumbe pamoja na ndugu jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu.
Tulimpenda sana baba yetu Ila Mungu kampenda zaidi yetu hivyo tuseme sote,
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe.
0 Comments