Header Ads Widget

KOCHA WA ZAMAN WA MAN UTD TEN HAG ATIMULIWA LEVERKUSEN

 

Kocha wa zamani wa Manchester United Erik ten Hag amefutwa kazi na klabu ya Ujerumani Bayer Leverkusen baada ya mechi mbili pekee za ligi kuu.

Ten Hag, 55, alisajiliwa na klabu hiyo ya Ujerumani msimu wa kiangazi baada ya kutimuliwa na United mwezi Oktoba.

"Hakuna aliyetaka kuchukua hatua hii," mkurugenzi mkuu wa Leverkusen Simon Rolfes aliambia tovuti ya klabu ''lakini, wiki chache zilizopita zimeonyesha ni vigumu kuunda timu mpya itakayofikia mafanikio tunayotarajia."

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI