Header Ads Widget

MSAFARA WA MAHONDA WASAFISHA NJIA KUMSINDIKIZA RAIS MWINYI

 

Msafara wa Mahonda yakijipanga katika baadhi ya njia za Jiji la Zanzibar wakiashiria kusafisha njia na kuhamasisha wananchi kumsindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI