Header Ads Widget

STEVE NYERERE 'KUSIMAMA MBELE YA RAIS NA KUSEMA UNAMDAI SIO HESHIMA"

 "Mh Rais Samia Suluhu Hassan  hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na uvumilivu pia lakini kwa Wajinga na watu wasio waelewa wanaweza kuona wapo juu Ya sheria,...

Huwezi kusimama mbele Ya Rais wako Mwenyekiti wako Ukasema Unamdai kwanza sio heshima kabisa,....

Lakini watu kama hawa Mh Rais wapo wengi Ila leo Umewaonyesha Sura yako Kama Rais, Umewaonyesha Makali yako kama mwenyekiti hongera sanaa,..

Naimani wanaenda kujipanga Upya lakini kamwe hawata weza,....

Tufike mahala Tutambue Tujue kuna Dola kuna Mamlaka kuna serikali na hakuna aliye Juu ya Dola na hukatazwi kusema lakini hakuna Uhuru Usio na kikomo,....wawejaaa sanaaa." - Steve Nyerere.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI