Na Matukio Daima Media,
Mwanahabari mwandamizi aliyewahi kufanya kazi katika vituo vya luninga hapa nchini kwa nyakati tofauti ikiwemo ITV na Azam tv Allen Silvery Msungu amechukua fomu ya kuwania nafasi ya udiwani katika kata ya uleling'ombe jimbo la Mikumi wilayani kilosa kupitia chama cha ukombozi wa Umma.
Allen Silvery Msungu amekabidhiwa fomu hiyo mjini Morogoro leo August 19,2025 na Naibu Mkurugenzi Uchaguzi,Kampeni na Oganaizesheni wa Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA TAIFA Ndugu David Chiduo.
0 Comments