Katika kuadhimisha siku ya mazingira Duniani, Halmashauri ya wilaya ya Mbeya imeungana na wananchi wengine kufanya usafi wa mazingira na kuhimiza utunzaji bora wa mazingira kwa ustawi wa Tanzania ya sasa na ijayo.
Shughuli ya usafi katika mji wa Mbalizi hasa kuzunguka eneo la mto Mbalizi imeongozwa na kaimu mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mbeya John Maholani.
Akizungumza na wananchi wa mji wa Mbalizi na Mbeya kwa ujumla, Maholani amewataka wananchi kujenga tabia ya usafi kuwa desturi badala ya kusubiri kuhimizwa na kuhakikisha idara ya mazingira na watendaji kata wanasimamia zoezi hilo.
Afisa mazingira kutoka Halmashauri ya wilaya ya Mbeya John Rulala amesema wataendelea kufanya doria na kuchukua hatua kwa wanaokiuka kanuni na sheria walizojiwekea huku akisisitiza wananchi kuzingatia elimu ya utunzaji mazingira badala ya kusubiri kutozwa faini zisizo na msingi.
Kwa upande wake mtendaji wa mamlaka ya mji mdogo wa Mbalizi Daudi Mbembela amewataka wananchi wa Mbeya vijijini hasa katika mamlaka hiyo ya mji mdogo kushirikiana na viongozi wao kutunza mazingira na kutotupa taka hovyo ili kuepukana na magonjwa mbalimbali hasa ya mripuko.
Viongozi mbalimbali wa kata vitongoji wamewataka wananchi kila mmoja kuhakikisha anakuwa na eneo la kukusanyia taka taka na kukusanya kwenye gari la kuzoa taka kulingana na ratiba walizojiwekea ili kuhifadhi mazingira.
Nao wananchi waliozungumzia maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani wamesema uchafu unachagizwa na baadhi ya wananchi ambao wanaenda kutupa taka hovyo hasa maeneo ya wazi na kwenye kingo za mto bila kujali usalama wa afya zao na kutaka suala la usafi liwe endelevu badala ya kusubiri maadhimisho ya mazingira au siku za usafi.
Siku ya mazingira Duniani huadhimishwa Juni 04 kila mwaka kote ulimwenguni ili kutafakari kwa pamoja juu ya uhifadhi bora wa mazingira, changamoto na mafanikio katika suala la mazingira pamoja na hatua mahususi za kuhakikisha mazingira yanahifadhiwa ipasavyo ili kutunza uoto wa asili kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kile cha Tanzania ijayo.
SIMULIZI CHINI⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
Tabia ya utapeli yamtokea puani baada ya kuchukuliwa hatua kali
Kuwa na makazi mazuri ni sehemu ya mambo matatu ya muhimu (basic needs) kwa binadamu yeyote ukiachilia mbali chakula na mavazi, hivyo katika kutafuta kwangu maisha, nilijitahidi sana niweze kujenga nyumba.
Hiyo ni kwa sababu wazazi wangu wenyewe hawakuwahi kuwa na nyumba yao hadi tunazaliwa na kuwa watu wazima, nao walitulea kwenye nyumba hizo za kupanga toka tunazaliwa hadi tukawa watu wazima na kuanza kujitemea na kufanya maisha yetu.
Siku zote ndoto yangu ilikuwa ninunue shamba halafu nijenge nyumba ili wazazi wangu waje kuishi hapo na baadaye nijenge hapo pembeni nyumba yangu na familia yake.
Kwa kweli sikupenda kuona wazazi wangu wanafikia hatua ya uzee wakiwa kwenye nyumba za kupanga kwani itafikia muda watakosa nguvu za kufanya kazi na watashindwa kulipa kodi.
Hatimaye nilifanikiwa kununua shamba heka moja na mara moja nilianza ujenzi kutokana nilikuwa nimejipanga kisawasawa, mafundi walifanya kazi usiku na mchana hadi kazi hiyo ikaisha na nami na wazazi wangu tukahamia katika nyumba hiyo.
Hata hivyo, siku moja nikiwa nyumbani, alijitokeza mtu mmoja na kudai eneo lile shamba ni la kwake pia, nilimwambia nina hati ya kumiliki ardhi hiyo naye akasema anayo pia, nilipojaribu kuulizia kwa mtu aliyeniuzia akasema siyo kweli, huyo ni tapeli.
Baada ya wiki kama mbili, mtu yule naye akaleta vifaa na mafundi mara moja ili kuanza ujenzi, jambo hilo lilinichanganya sana hasa pale niliposikia mtu huyu ana nguvu kubwa kifedha, huvyo anaweza kusema mimi ndio nimevamia eneo lake.
Kwa kutambukua uzito wa jambo hilo, niliamua kuwashirikisha ndugu zangu kadhaa ili wanipe ushauri wa kufanya, sitomsahau rafiki yangu Moses aliyenipatia namba ya Kiwanga Doctors, nilipiga na kuwasiliana naye na kumuomba ananifanyie dawa ya kuondoa tatizo hilo.
Basi, Kiwanga Doctors aliniambia ndani ya siku tatu nitapata majibu sahihi, lakini kabla ya siku tatu kuisha nilipigiwa simu na kuambiwa yule aliyevamia eneo langu amepata ajali mbaya ya gari na kwamba amelezwa Hospitali, licha ya kuwa alikuwa amenitendea ubaya, kweli kama binadamu nilishtuka sana.
Alikaa Hospitali kwa muda mrefu sana, zaidi ya miezi miwili, akiwa huko alituma watu waje nyumbani kuniomba msamaha kwa kile alichonifanyie na kuahidi hataendelea na ujenzi huo.
Nami niliamua kumsamehe na sasa naendelea vizuri na maisha yangu na tayari nimejenga nyumba yangu ya pili.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
0 Comments