Header Ads Widget

HONGERA JASMIN NG'UMBI KWA KUTEULIWA UBUNGE VITI MAALUM VIJANA


 Hongera sana Jasmin Chesco Ng'umbi mjumbe wa kamati ya utekelezaji UVCCM wilaya ya Mufindi kwa kuteuliwa na chama cha mapinduzi (CCM) Taifa chini ya mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa mbunge wa viti maalum vijana Tanzania Bara.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI