Header Ads Widget

MAANDAMANO YAZIDI KUPAMBA MOTO KWA SIKU YA TATU HUKO LOS ANGELES

Maandamano yamezidi kupamba moto kwa siku ya tatu huko Los Angeles ambako waandamanaji wanaopinga sera za uhamiaji za Rais wa Marekani Donald Trump wamekabiliana na maafisa wa usalama.

Wanajeshi wa kikosi maalum waliotumwa na Rais Trump mjini humo licha ya pingamizi kutoka kwa Gavana wa jimbo la California na Meya wa mji wa Los Angeles, wametumia gesi ya kutoa machozi na risasi za mpira kukabiliana na waandamanaji hao.

Meya wa Los Angeles Karen Bass amesema machafuko katika jiji hilo "yaliyochochewa na utawala" huku Gavana wa California Gavin Newsom akisema kuwa uamuzi wa Donald Trump kupeleka Walinzi wa Kitaifa kwenye maandamano hayo ndio "uliozidisha" ghasia hizo.

Waandamanaji walikusanyika karibu na eneo ambapo maafisa wa Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha walifanya uvamizi siku ya Jumamosi, na kufunga barabara kuu kuu.

Democrats walitaja vitendo vya Trump kuwa "matumizi mabaya ya mamlaka ".

Ni mara ya kwanza kwa rais wa Marekani kupeleka Walinzi wa Kitaifa katika jimbo bila ombi kutoka kwa gavana wa eneo husika.

Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kuwa kutakuwa na wanajeshi "kila mahali" ikiwa maandamano yataendelea, na kuongeza kuwa "hatutaacha nchi yetu isambaratike"


mwisho 


Hizi fedha nyingi ambazo nimekuwa nazipata naweka benki" 

Wanasema katika maisha kama hujabahatika kwenda shule na kupata elimu usichague kazi, kwani mchagua jembe si mkulima. Walisema waswahili. Usemi huo umekuwa ukiishi katika maisha yangu miaka yote.

Naitwa Baro, kijana wa miaka 23, sikufanikiwa hata kumaliza elimu ya msingi kwani niliishia darasa la nne, hiyo ni baada ya wazazi wangu kutengana hivyo nikaenda kuishi na bibi yangu na huko maisha yalikuwa magumu sana kiasi kwamba nikashindwa kuendelea na masomo. 

Katika umri wangu mdogo nilikuwa naondoka asubuhi na bibi na kwenda kufanya kazi ya vibarua katika mashamba ya watu ambapo tulikuwa tunafanya kazi ya kuchuma kahawa. 

Nilipofikisha umri wa miaka 19 niliamua kuondoka kwa bibi na kumueleza kuwa naenda mjini kutafuta maisha na nikifanikiwa nitarejea maana ndio amenitunza kwa miaka mingi kwa kujinyima ile mimi mjukuu wake nisije kufa kwa njaa. 

Huko mjini nilifanya kazi mbalimbali kwa watu wengi, nilifanya kazi ya kuuza chakula kwa mgahawa kwa mwaka mmoja na nusu lakini nikaona malipo yake ni kudunchu sana na hayawezi kuniondoa katika umaskini. 

Nilichukua kiasi cha fedha nilichokuwa nimekusanya na kuamua kupanga chumba pamoja na kununua vitu vya ndani kama kitanda, godoro, meza na viti vya kukalia. 

Kiasi kilichobaki ndicho nikaanza nacho biashara ya kutembeza maji na juice baridi katikati ya mji, biashara ilianza vizuri lakini kadiri muda ulivyokuwa unasonga hali ilizidi kuwa mbaya. 

Mtaji uliisha hadi nikaamua kuuza viti na meza ili kurejea katika biashara, mtu wangu karibu, Loli ambaye naye alikuwa anauza karanga alionekana kupata wateja sana hadi kiasi nikawa namuonea wivu. 

Nilimuuliza kuhusu siri ya mafanikio yake na ndipo aliponieleza baada ya kupitia wakati mgumu katika biashara ndipo alimsaka Kiwanga Doctors  ambaye naye alipewa habari zake na mtu mmoja. 

Aliniambia kuwa Kiwanga Doctors anaweza kunisaidia, nilimuomba namba yake, Loli alinipatia yake, niliweza kuwasiliana naye na kumueleza shida yangu.

Alinitoa hofu na kusema ndani ya siku tatu nitaanza kupata majibu ya tatizo langu, naweza kusema ilikuwa ni kama ndoto kwa namna ambavyo biashara ilishamiri. 

Nilikuwa nauza hadi usiku wa saa nne na kuamua mwenyewe kwenda kulala kutokana na uchovu wa siku, kwa jinsi biashara ilivyokuwa inatoka niliweza kufanya mambo mengi ya kimaendeleo ikiwemo kumjengea bibi kijijini, nimenunua bajaji zangu mbili ambazo nimekodishia vijana wafanye nazo kazi.

Kwa sasa nimeweza kupanga nyumba nzuri yenye kila kitu ndani na ninajiona mbali sana kimaisha kwa fedha ambazo nimekuwa nikiingiza kila siku ambazo kwa sasa naziweka Benki. Kwa hakika Kiwanga Doctors amenipa maisha ambayo nilikuwa nayatamani sana maishani mwangu. 

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba  +255 763 926 750  au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI