NA MATUKIO DAIMA MEDIA
Mwenyekiti wa CCM mkoa Kigoma Jamal Tamim amechukua fomu leo Jumatatu Juni 30 kuomba kuteuliwa na CCM kugombea ubunge jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo mkoani Kigoma.
Jamal ambaye alifika ofisi za CCM wilaya Kibondo mapema asubuhi leo alikabidhiwa fomu za kuomba kuteuliwa kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya hiyo, Raphael Sumaye Maarufu Control.
0 Comments