Header Ads Widget

ALIYEKUWA RC IRINGA PETER SERUKAMBA ACHUKUA FOMU KUTIA NIA UBUNGE KIGOMA KASKAZIN

 


Mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) Peter Serukamba Rasmi amechukua fomu kutia nia ubunge Kigoma Kaskazin.

 Serukamba  ambae alikuwa mkuu wa mkoa wa Iringa kabla ya kuandika barua kwa mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuomba kwenda kugombea ubunge na kuruhusiwa.

Serukamba alishawahi kuwa mbunge katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amekuwa mkuu wa mkoa katika mkoa wa Singida na mwisho mkoa wa Iringa.



Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI