Na Hamida Ramadhan,Matukio Daima App Dodoma
SERIKALI kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewasilisha Bungeni ombi la bajeti ya shilingi 476,655,072,000 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Akiwasilisha makadirio hayo, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amesema fedha hizo zinalenga kuimarisha mchango wa sekta hizo katika maendeleo ya Taifa.
Katika hotuba yake, Dkt. Kijaji alieleza kuwa, “Mheshimiwa Spika, kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 101.52 ni kwa matumizi ya kawaida na shilingi bilioni 375.14 ni kwa miradi ya maendeleo.”
Amebainisha kuwa matumizi ya kawaida yamegawanywa kama ifuatavyo: mishahara ya watumishi shilingi 47.26 bilioni, na matumizi mengineyo shilingi 54.25 bilioni.
Kwa upande wa maendeleo, ameeleza kuwa shilingi 227.99 bilioni zitatolewa na Serikali (fedha za ndani), huku shilingi 147.14 bilioni zikitoka kwa washirika wa maendeleo (fedha za nje).
Waziri ameeleza kuwa fedha hizo zitaelekezwa katika maeneo ya kipaumbele kama uboreshaji wa miundombinu ya masoko ya mifugo na mazao ya uvuvi, kuimarisha huduma za ugani na utafiti, pamoja na kuchochea matumizi ya teknolojia na kuongeza thamani ya bidhaa.
“Tunalenga kuwawezesha wafugaji na wavuvi kwa kuwapatia mazingira rafiki ya uzalishaji na biashara lakini pia umuhimu wa sekta hizi kwa ajira na kipato cha wananchi wa kawaida.
MWISHO
SIMULIZI CHINI⬇️⬇️⬇️⬇️
Mzee aliyeporwa Sh13.7 milioni arejeshewe fedha zake kimiujiza
Dada mmoja aitwaye Khadija kazi yake ilikuwa rahisi tu, kazi hiyo ilimbidi tu kujifanya kama anauza mkufu wa dhahabu kwa bei ya kutupa kisha kuwavuta wateja hadi eneo fulani la uchochoni, halafu hapo wanaume kadhaa watajitokeza na kumpora mwanaume huyo.
Alikuwa na sehemu tatu tofauti za kufanya uhalifu huo ambao uliongozwa na wanaume wenye bunduki moja, visu kadhaa na pingu zilizonunuliwa kutoka kwa afisa polisi ambaye anaunga mkono uhalifu.
Siku moja Khadija alisimulia hadithi yake ya jinsi yalivyoweza kuachana na genge hilo na kuanza maisha yake mapya huko nje ya mji kuliko na wakazi wachache.
Basi kuna siku ilianza kama kawaida, yeye na genge lake walipata bahati ya kuwaiba watalii wawili kutoka Uholanzi. Wawili hao walikuwa na kama Euro 3,000, fedha hiyo kwao ilimaanisha mwanzo mzuri wa biashara yao ya uporaji kwa siku hiyo.
Anasema kwa kipindi hicho walikuwa wanatengeneza haribia Sh200,000 wa siku kutokana na shughuli zao za uporaji, kwa hakika ilikuwa ni kazi haramu iliyowalipa zaidi.
Sasa siku hiyo Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 62 hivi, alipita eneo lake na mara moja Khadija alimchangamkia na kutaka kumuuzia vito ili kumuibia mzee huyo ambaye alikuwa na begi lenye kiasi cha Sh13.7 milioni.
Kama ilivyo kawaida yake, Khadija alifanikiwa kumuongoza moja kwa moja hadi kwenye genge lake ambalo walimpora Mzee huyo fedha zote alizokuwa nazo. Kutokana na umri wake, hakuweza kukimbia, hivyo wakamsukuma tu na kuanza kuhesabu pesa hizo ambazo ziliwachanganya sana.
"Mzee alipiga simu, na kale kasimu kadogo tulichomuachia, na baada ya muda mchache, mambo yakaharibika. Tulishtuka baada ya kuona kuwa wote tumepoteza uwezo wa kutembea. Tulibaki kama sanamu na tusijue la kufanya," alisema.
Mzee huyo alirudi akiwa na mkusanyiko mdogo wa wanafamilia na marafiki zake na kuwakuta wakiwa bado wameganda katika eneo lile kama sanamu, na punde tu walipokea kipigo ambacho Khadija anasema hatakisahau maishani mwake.
Khadija anasema kwamba Mzee huyo aliwasiliana na Kiwanga Doctors ambao ni wataalamu wa mitishamba na akawaeleza jinsi alivyoporwa fedha zakeSh13.7 milioni na ndipo walipomfanyia matambiko yao ya kurejesha mali zake.
Hii inatoa somo kwa wengi, iwapo una mali zake ziliporwa, basi unaweza kuwasilina na Kiwanga Doctors. Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma zao, unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
0 Comments