Header Ads Widget

SEKI KASUGA ATAJA MAFANIKIO YA RED CROSS TANZANIA

Matukio Daima App.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano Tanzania Red Cross Society  Seki Kasuka amesema kuwa wanajivunia kufanya kazi za ubinadamu na kuwa sehemu ya kusaidia serikali na jamii katika kutatua changamoto mbalimbali.

Seki amesema hayo wakati akizungumza na Matukio Daima wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya chama cha msalaba mwekundu yaliyofanika katika ukumbi wa kituo cha mikutano cha Jakaya kikwete jiji Dodoma.

Ameeleza kuwa leo wametimiza miaka 63 tangu kuanzishwa kwa msalaba mwekundu nchini na wanajivunia kwa sababu hakuna sekta ambayo hawajaigusa kama Red Cross.

"Tunayo miradi ya majanga ya njaa ambayo huwa tunawawezesha waathirika wa njaa kwa kuwapa pesa za matumizi sambamba na vyakula vya lishe na kuwapa mafunzo nanma ya kukabiliana na hali ya ukame wakati majanga mama yanapotokea".

MWISHO


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI