Header Ads Widget

RAIS MSTAAFU WA AFRICA KUSINI MHE THABO MBEKI AWASILI MOROGORO


 RAIS Mstaafu wa Afrika Kusini Mhe Thabo Mbeki amewasili mjini Morogoro akitokea jijini Dar es salaam kwa kutumia Treni ya SGR kwa ziara ya siku moja ambapo licha ya kupokewa na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima, atatembelea iliyokuwa kambi ya wapigania Uhuru wa nchi hiyo, ambayo sasa inatumika kama Kampasi ya Solomon Mahlangu maarufu sasa kama Mazimbu ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI