NA WILLIUM PAUL, MWANGA.
WATU Saba wamefariki Dunia na wengine thelathini na moja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani wa Kilimanjaro, Mrakibu Msaidizi Jeremiah Mkomagi amesema kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya asubuhi katika barabara ya Ugweno - Mwanga.
Alisema kuwa, basi kampuni ya Mvungi lililokuwa likitokea Vuchama Ugweno kuelekea jiji Dar es salaam lilipokuwa likilikwepa gari dogo ndipo lilienda pembezoni mwa ngema ya mlima ambapo uzito uliizidi ngema na kupelekea kuanguka bondeni.
"Kama unavojua kipindi hiki ni cha mvua sasa dereva wa hili basi alikuwa analikwepa gari dogo akawa ameenda pembeni ya kingo ya mlima ndipo uzito ulipolea na kupelea kuangukia bondeni" Alisema Mkomagi.
Alisema kuwa, watu saba walifariki Dunia pale pale huku mmoja akifariki wakati anapatiwa matibabu katika hospitali ya Kanda ya KCMC na wengine 31 kujeruhiwa ambapo majeruhi walikimbizwa katika hospitali ya Kifula pamoja na Hospitali ya Kanda KCMC.
Kwa wake Afisa Uhusiano wa hospitali ya Kanda ya KCMC, Gabriell Chiseo amethibitisha hospitali hiyo kupokea majeruhi saba ambapo wa kike ni wanne na wakiume watatu.
Chiseo amesema kuwa, kati ya majeruhi hao mmoja alifariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu ambaye ni mwanamke.
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na taarifa ya kamanda wa polisi kwa vyombo vya habari zimeeleza kuwa majeruhi wote wanaendelea na matibabu Hospitali ya Kifula, Hospitali ya Wilaya ya Mwanga, Hospitali ya KCMC Moshi na Hospitali ya Mkoa ya Mawenzi.
Chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva kushindwa kulimudu gari wakati anapishana na gari jingine kwenye kona kali na kuacha barabara na kutumbukia bondeni huku Dereva wa gari hilo anashikiliwa kwa mahojiano zaidi
Waliofatiki Dunia katika ajali hiyo ni Ashura Omari Sakena (47), mkazi wa Vuchama Mwanga,Zaituni Hashimu Mwanga (52), Mkazi wa Masumbeni Mwanga, Halima Omari (02), Mkazi Mwanga, Judithi Safieli Mwanga, (43), Mkazi wa Mangio Mwanga.
Wengine ni Benadetha (20), Mfanya kazi wa ndani, Mkazi wa Ugweno,Haji Abubakari, (50), mkazi wa Kifula na Hamadi Hussein Mshana (64), mkazi wa Ngalanga Ugweno.
Miili ya marehemu imehifadhiwa hospitali ya Wilaya ya Mwanga kusubiri uchunguzi na taratibu zingine.
SIMULIZI CHINI ⬇️
Dawa za urahibu mbaya
Jina langu ni Abel kutokea Mbozi, ni kwenye uhusiano kwa miaka sita na mpenzi wangu, Nadia, hadi sasa naona tupo pamoja naamini hakuna kitu ambacho kitakuja kutuachanisha kutokana tumepitia changamoto nyingi na kuzishinda.
Nakumbuka miongoni mwa changamoto hizo ni mpenzi wangu kuwa na urahibu wa dawa za kulevya, alijikuta katika janga hilo kwa bahati mbaya kutokana na aina ya marafiki aliokuwa nao.
Wakati wa Wekiendi walipokuwa wanatoka kwa ajili ya starehe, rafiki zake walikuwa wanatumia dawa hizo, hivyo walitumia ujanja wakawa wanamchanganyia kwenye kinywaji hadi akawa na urahibu wa dawa hizo hatari.
Kuna wakati aliharibikiwa sana hadi akawa anachukua vitu vyangu ndani anaenda kuuza ili apate fedha ya kwenda kununua dawa na kukata kiu yake kwa wakati huo.
Nilijaribu kumpelekea kituo cha kulea watu wenye urahibu wa dawa za kulevya lakini baada wiki moja alitoroka huko na kurejea nyumbani.
Tatizo mimi nilikuwa sishindi nyumbani kutokana na kazi yangu, ndugu zake wote wapo kijijini, hivyo mzigo wote ukabaki kuwa wangu, nilijaribu kupita huko na kule kuomba msaada ili aweze kuachana na dawa hizo bila mafanikio.
Ilifikia wakati nikakataa kabisa mazoea na yeye nikataka kuachana naye, lakini kila ambavyo nikifikiria jinsi mimi na yeye tumetoka mbali ndivyo ambavyo roho yangu ilikuwa inazidi kuuma na ukizingatia amejipata katika hali hiyo bila yeye mwenyewe kupenda.
Baada ya kuzunguka sana, niliweza kukutana na tovuti ya Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya hapa alieleza kuwa anaweza kumsaidia mtu aliyeathirika na matumizi ya dawa za kulevya na kuweza kuachana nazo kabisa.
Nilichukua namba yake na kumpigia, katika mazungumzo yetu ya muda mfupi, Kiwanga Doctors alinihakikishia kuwa Nadia atapona kabisa kutoka kwenye matumizi ya dawa za kulevya.
Niliendelea kugonjea hilo kutokea kwani ni kitu ambacho nilikitamani sana kukiona kutokana nilimpenda sana mpenzi wangu na sikuwa tayari kumpoteza kivyovyote vile na isitoshe tulikuwa na mipango mengi ya mbeleni.
Basi taratibu Nadia alianza kurejea kwenye hali yake ya kawaida na kuwa mwanamke mzuri kama hapo awali alivyokuwa had nikaamua kuwa naye na kumpa nafasi katika moyo wangu.
Hadi sasa mpenzi wangu amefanikiwa kuachana na matumizi ya dawa za kulevya hadi baadhi ya rafiki zake ambao walipitia kipindi kama chake wanashangaa amewezaje kwa muda mfupi hivyo.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116469840 au tembelea tovuti yao, www.kiwangadoctors.co.tz kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
0 Comments