Aliyekuwa Katibu wa UWT Mkoa wa Mbeya Rusia Sule amefariki Usiku wa Machi 31,2025 akiwa anaendelea kupitiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani,Sule alikuwa akipatiwa matibabu ya ajali ya gari iliyotokea Feb 25 mwaka huu
Katika ajali hiyo watu watatu akiwemo Mwandishi wa habari mkoa wa Mbeya Furaha Simchimba walifariki dunia na wengine saba kujeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea mkoani humo ikihusisha basi kampuni ya CRN na gari la serikali STM.
Ajali hiyo imetokea Februari 25 katika eneo la Shamwengo wilayani Mbeya wakati basi lenye namba T 599 DZQ likilipita gari la serikali lenye namba 6167 bila kuchukua tahadhari na kugongana nje ya barabara na kusababisha vifo hivyo na majeruhi saba akiwemo mwandishi wa habari wa Channel Ten mkoa wa Mbeya, Epimacus Apolinary, Mwenyekiti na katibu wa UWT mkoa wa Mbeya.
Mwenyekiti wa Chama Cha waandishi wa habari mkoa wa Mbeya (MBPC)Nebart Msokwa katika taarifa yake kwa vyombo vya habari alisema kuwa katika ajali hiyo waandishi waliopata ajali ni Furaha Simchimba, Epimacus Kalokola, na Selemani Ndelage.
Kuwa kwa bahati mbaya Furaha Simchimba alifariki katika ajali hiyo.
"Wenzetu Kalokola na Selemani wanaendelea na matibabu. Tunaendelea kufanya juhudi za kuwahamisha kutoka Hospital ya Wilaya (Inyala) kuwaleta Hospital ya Rufaa ya Kanda Mbeya"
Watu watatu wamefariki dunia akiwemo mwandishi wa habari wa kujitegemea mkoani Mbeya Furaha Simchimba na wengine saba kujeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea mkoani humo ikihusisha basi kampuni ya CRN na gari la serikali STM.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Wilbert Siwa amethibitisha ajali hiyo akieleza kuwa kati ya majeruhi saba wawili kati yao wapo mahututi.
Waliofariki katika ajali hiyo Hadi sasa ni sita Waandishi wawili Furaha Simchimba na Seleman Ndelage, kondakta wa basi, dereva ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mwalimu mjumbe wa CCM na Katibu wa UWT Mkoa majeruhi watatu ni pamoja na Waandishi wawili na Mwenyekiti wa Jumuia ya wazazi Mkoa wa Mbeya.
SIMULIZI CHINI 👇 ⬇️
Tangu siku hiyo wateja wamekuwa wengi sana katika biashara yangu!
Naitwa Ahmed kutokea Morogoro mwaka 2017 nilikutana na rafiki yangu wa siku nyingi, Said ambaye amekuwa akifanya biashara kwa miaka mingi, nilitaka kujua jinsi gani amefanikiwa ili nami nipite njia hiyo.
Katika mazungumzo yetu nilikuja kugundua ya kuwa kila mfanyabiashara anakuwa na siri yake ya mafanikio, ni wachache sana ambazo wanaweza kuzungumza wazi wazi jinsi ambavyo wamekuza biashara zao.
Kwa ujumla au kwa asilimia kubwa, wafanyabiashara wengi kutoa siri ambazo sio za kweli kuhusu mafanikio ya biashara zao ili kutopata washindani wa kweli, unapozifuata unajikuta ukipoteza mtaji wako wakati wao wanaendelea kutajirika.
Said alinieleza mambo ya kufanya na kuzingatia, niliyashika yote na kwenda kuyatekeleza kwenye biashara yangu ya kuuza nguo, mwanzo biashara ilianza kama kuchangamka lakini baada ya muda mambo yalianza kwenda sivyo kabisa.
Wateja walikuwa wachache sana na baada ya miezi kadhaa kodi ya fremu yangu ikawa imeisha muda wake, sikuwa na hela ya kulipa tena ikanibidi zile bidhaa nilizokuwa nazo nizihamishie kwa mfanyabiashara mwenzangu anisadie kuziuza.
Basi niliamua kurejea nyumbani kijijini kwa ajili kupumzisha akili yangu kidogo, nilipenda kuwatembelea ndugu jamaa na marafiki ambao tulikuwa hatujaonana kwa miaka mingi.
Katika mazungumzo na Babu yangu pale Moshi, nilimwambia kuwa biashara imenishinda kwani sipati wateja kabisa na kodi inaisha muda wake nikiwa sijakusanya kiasi chochote fedha cha kuweza kuendeleza biashara hiyo.
"Mjukuu wangu biashara za siku hizi zina mambo mengi, unaweza kuuza chakula kumbe nyota yako ya biashara ipo kwenye kuuza vifaa vya ujenzi au uvuvi na hata udereva wa malori," alisema Babu yangu huku akinitazama kwa makini.
"Sasa sikiliza mjukuu wangu, nakupa namba ya Kiwanga Doctors, andika hiyo namba +254 116 469840 kwenye simu yako na mpigie, itakusaidia, vijana wengi katika kijiji chetu wamefanikiwa kwa ajili yake," aliniambia Babu.
Nilimpigia Kiwanga Doctors na kumueleza kila kitu, aliniambia ningoje kama dakika 15 atanipigia, kweli baada ya muda huo alinipigia na kuniambia nyota yangu ya biashara ipo kwenye kuuza samaki wa bichi, yaani niwe na bucha la samaki.
Baada ya kukaa kijijini kwa mwezi mmoja na nusu, nilirejea mjini na kufungua bucha hilo na kuanza kuuza, kwa kweli biashara hii ilichangamka sana. Nilikuwa naleta kg zaidi ya 500 za samaki na zinamalizika kabla ya saa 12.
Wateja wangu walikuwa wengi hadi wengine wananitumia oda ya nyama usiku wa manane, namna biashara hii ilivyokuja kubadilisha maisha yangu, kuna wakati natamani ningekutana mapema maana amefungua mlango muhimu katika maisha yangu.
Ni watu wengi hadi sasa wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.co.tz kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
0 Comments