Header Ads Widget

MAAJABU YA HAYATI PAPA FRANCIS


 Mnamo mwaka 2019 Hayati Papa Fransis alipiga magoti na kuwabusu miguu viongozi wa Sudani Kusini huko Vatican, akiwasihi walete Amani katika nchi yao. Hakika nadiriki kusema huyu Papa alikuwa mtu Mwema, Mtu wa Makusudi ya Mungu apumzike kwa Amani

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI