Header Ads Widget

CHRISTIAN BELLA AAHIDI SHOW KUBWA USIKU WA MWANAMKE GARA MUSOMA

Na Shomari-Binda-Musoma

MSANII Christian Bella" Obama" ameahidi kukonga nyayo za mashabiki wa Musoma watakaojitokeza kesho jumapilk kwenye tukio la Mwanamke Gara.

Akizungumza na Matukio Daima kwa njia ya simu akiwa njiani kuja Musoma amesema ana miaka mingi hajakutana na mashabiki wake wa mji huu hivyo anakuja kuwapa burudani.

Amesema hakuna kama mama na ndio akawatungia wimbo na kuwakaribisha kuja kwenye tukio hilo waburudike

Msanii huyo amesema licha ya kushuhudia tuzo na burudani nyingine lakini kwa upande wake itakuwa ni burudani zaidi.

" Nawakarisha wanawake wa Musoma waje usiku wa mwanamke gara pale Mwembeni Complex nakuja kuwapa burudani ya kutosha.

" Namshukuru mama Fugo kwa kunileta Musoma maana ni muda mrefu nakuja kukutana na mashabiki wangu na kuwapa burudani",amesema Obama.

Mratibu na muandaaji wa tuzo za mwanamke gara Musoma Anifa Majura " mama Fugo"amesema maandalizi yamekamilika kwaajili ya usiku huo aprili 27.

Amesema licha ya msanii Christian Bella atakuwepo pia Mc Mziwanda na burudani nyingine huku mkuu wa mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi akitarajiwa kuwa mgeni rasmi.


SIMULIZI CHINI ⬇️ ⬇️ 👇 


Apoteza kazi kwa kutumia kopyuta ya ofisi kutazama video chafu 

Jina langu ni Zai kutokea Ilala, mara baada ya Bosi wangu kuwa na chuki ya waziwazi kwangu, alifanya mambo mengi ya kunikomoa ikiwa ni pamoja na kuninyima likizo, kunikata mshahara kwa kosa ambalo hata sijafanya.

Nakumbuka alishawahi kunikata Sh150,000 kwa madai kuwa nilichelewa kazini kitu ambacho sio kweli. Hadi wafanyakazi wenzangu walikuwa  wananionea huruma na kuamua kwenda kuniombea msamaha kama kuna sehemu nilimkwaza Bosi wangu, anisamehe. 

Aliwasikiliza na kuwaambia wakiendelea kufuatilia jambo hilo atawafukuza kazi wote. Mfanyakazi mwenzangu mmoja aliniambia tuonane wikiendi inayofuata ana habari njema kwangu.

Basi wikiendi ilipowadia niliweza kukutana naye nyumbani kwake, tulizungumza mengi ila kubwa zaidi aliniambia anaweza kunisaidia kuhusu manyanyaso nayopata kwa Bosi wangu.

Nilimwambia itakuwa vizuri maana nilitakiwa kuongezwa mshahara takribani miezi saba lakini Bosi hajafanya hivyo licha ya mkataba wangu kueleza hilo wazi wazi. 

Alichukua simu yake na kunitajia namba ya Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya, alisema ataweza kunisaidia kwa haraka. 

Nilimpigia pale pale nikiwa na Rose na kumueleza jinsi Bosi wangu amekuwa akinitesa na kugoma kuniongezea mshahara, basi Kiwanga Doctors aliniambia niwe na subra kwani muda wa siku tatu hali itakuwa shwari. 

Kesho yake kazi tulishangaa Mkuu wa Taasisi kaja ofisini kwetu na sio utaratibu wake kuja bila taarifa, ghafla ilitangazwa kuwa atakuwa na mkutano na wafanyakazi wote. 

Katika ule mkutano Mkuu wa Taasisi alitangaza kumfukuza kasi Bosi kwa madai alikuwa akitumia Komputa na iPad ya ofisi kutazama video chafu jambo ambalo ni kinyume na maadili na kiapo alichoaapa kukisimamia. Basi Bosi yule aliondoka kwa aibu kubwa na baada ya wiki alikuja Bosi mpya. 

Huyu Bosi mpya anapenda wafanyakazi wote bila ubaguzi wowote, baada ya wiki moja aliniita ofisini kwake na kuniambia kuwa ameniongeza mashahara wangu mara mbili kwani mkataba wangu unaonyesha nilipaswa kuongezwa mashahara muda mrefu. 

Nilimshukuru sana Bosi ila moyoni kwa asilimia kubwa namshukuru Kiwanga Doctors kwa kunisaidia kumuumbua mbaya wangu tena kwa aibu kubwa!. 

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba  +255 763 926 750  au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI