Header Ads Widget

TUSIACHE KUMUOMBEA RAIS DKT SAMIA -DKT TUMAIN MSOWOYA

Na Matukio Daima Media

Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Iringa, Dk Tumaini Msowoya amewaomba viongozi wa dini kutenga muda ili kuliombea Taifa la Tanzania na kumuombea Rais, Dk Samia Suluhu Hassan.

 Dk Msowoya amesema hayo baada ya kupewa nafasi ya kusalimia mamia ya wakazi wa Pomerini, Kata ya Ng'uruhe, Wilayani Kilolo katika mkutano wa Injili unaotarajia kumalizika Jumapili, Machi 9, 2025.

"Kabla sijaimba ninao ujumbe kwenu ndugu zangu, kwanza kabisa tumuombe Rais wetu mpendwa Dkt Samia Suluhu Hassan na tulimbee Taifa letu, amani yetu Tanzania iendelee kutawala," amesema na kuongeza;

"Pili, ntuuhakikishe kura nyingi sana mwaka huu tunampa kipenzi chetu, mama yetu, Rais Samia. Sasa, nawaombia ule wimbo mzuri kabisa unaoitwa Mungu Mkuu"

Mkutano huo unaendeshwa na Nabii Mujuni katika viwanja vya Kijiji cha Pomerini. Msowoya amewaomba viongozi wa dini kutenga muda ili kuliombea Taifa la Tanzania na kumuombea Rais, Dk Samia Suluhu Hassan.

 Dk Msowoya amesema hayo baada ya kupewa nafasi ya kusalimia mamia ya wakazi wa Pomerini, Kata ya Ng'uruhe, Wilayani Kilolo katika mkutano wa Injili unaotarajia kumalizika Jumapili, Machi 9, 2025.

"Kabla sijaimba ninao ujumbe kwenu ndugu zangu, kwanza kabisa tumuombe Rais wetu mpendwa Dk Samia Suluhu Hassan na tulimbee Taifa letu, amani yetu Tanzania iendelee kutawala," amesema na kuongeza;

"Pili, ntuuhakikishe kura nyingi sana mwaka huu tunampa kipenzi chetu, mama yetu, Rais Samia. Sasa, nawaombia ule wimbo mzuri kabisa unaoitwa Mungu Mkuu"

Mkutano huo unaendeshwa na Nabii Mujuni katika viwanja vya Kijiji cha Pomerini.

Post a Comment

0 Comments

MAGAZETI

NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI