Header Ads Widget

TANZANIA YAZIDI KUNG'ARA ULAYA 'TANZANIA ROADSHOW2025'

Msafara wa My Tanzania Roadshow 2025 umeanza kwa kishindo, kwa siku ya kwanza katika jiji la Cologne  nchini Ujerumani . Likiunganisha  mawakala  wa utalii wa Tanzania na mawakala wa kimataifa katika miji mikubwa ya Ulaya Magharibi. Lengo ni Kutangaza vivutio vyetu vya kipekee na kuvutia wageni zaidi! 

Kwa ushirikiano wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), TANAPA, NCAA, na sekta binafsi, tunahakikisha kuwa Tanzania inasalia kuwa chaguo namba moja kwa watalii  duniani. 

Ulaya ni soko muhimu kwa utalii wetu, na kupitia jitihada hizi, tunazidi kupanua wigo wa watalii  wanaokuja kutembelea vivutio mbalimbali  nchini m ikiwemo hifadhi za Taifa.

Tanzania Unforgettable 








Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI