Header Ads Widget

NO REFORM NO ELECTION KUANZA KUKOLEZWA MBEYA NYASA.

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mbeya Masaga Pius Kaloli, amesema siku ya kuzinduliwa kwa mikutano ya hadhara kwa ajili ya kueneza kampeni ya No reform no election tarehe 23 machi, 2025 katika kanda ya Nyasa kunaenda kutoa taswira na hatma ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.


Masaga amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Chama hicho mkoani Mbeya kuelekea kuzinduliwa kwa mikutano hiyo jumapili hii.


Amesema mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Wakili Tundu Lissu ndiye ataongoza uzinduzi wa mikutano hiyo jijini Mbeya na kuendelea katika maeneo mengine ili kuelimisha wanachama na wananchi kuielewa dhana ya kutaka mabadiliko ya sheria na mifumo ya kiuchaguzi kwa ujumla na baadaye upatikanaji wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ambapo amewataka wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mbeya na kwingineko jirani kujitokeza kwa wingi jumapili Machki 23, 2025 ili kwenda kupata mstakabali wa suala la uchaguzi na kuendelea kukichangia fedha chama hicho katika uendeshaji wake.


Amesema hawako tayari kuingia kwenye uchaguzi wenye viashiria vya uvunjifu wa amani, mabavu na kujeruhi watu kutokana na masuala ya uchaguzi mambo yanayotokana na ukosefu wa sheria rafiki za uchaguzi.


Kwa upande wake mwenyekiti wa Baraza la wazee (BAZECHA) mkoa wa Mbeya John David Mwambigija (Mzee wa upako), ametuma salamu kwa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya akikitaka kujiandaa kwani nguvu ya mwaka 2010 na 2015 ndio inarudi kuanzia mwaka huu akisema CCM inajidanganya kuwa inakubalika.


SIMULIZI CHINI 👇 

Nimemtafuta kazi ila sasa hanitaki tena!

Naitwa Halima kutokea Mbezi, baada ya kumtafutia mume wangu kazi huku mimi nikibaki nyumbani maana nilikuwa mzazi, ghafla mwenzangu akabadilika, akawa hataki tena tufunge ndoa kama ambavyo tulikubaliana kabla ya kupata kazi. 

Yaani hadi tulikuwa tumepanga tuhame hiki chumba kimoja tulichokuwa tunaishi, tukatafuta na nyumba kabisa tulishanunua na vitu vya ndani. Anakuja kuniambia kuwa mimi siwezi kuishi kwenye ile nyumba ana mwanamke mwingine ambaye watasaidiana maisha.

Nakashindwa nifanye nini maana sikuwa na kazi, kuna kabiashara ambako tulikua tunafanya naye kabla, lakini nilimuambia kuwa anipe mtaji labda nikasimamishe alikua ananiambia ananikusanyia tufanye biashara kubwa ila ndio hivyo akaja kunigeuka. 

Akawa anasema tuachane wakati huo kusema ukweli bado nilikuwa nampenda sana na hiyo kazi ilikua nipate mimi ila nikamuachia kwakua yeye ni mwanaume lakini ndio akaja kubadilika.

Kuna rafiki yake nilizungumza naye na kumwambia jambo hilo ili amwambie ajirekebishe, lakini huyo rafiki yake alinishauri nienda kwa Kiwanga Doctors ambaye atatumia mbinu zake kuhakikisha mtu wangu unanipenda kama ilivyokuwa hapo awali. 

Nilipofika kwa Kiwanga Doctors nilimueleza mkasa wangu na kunipa pole sana, mara moja alinifanyiwa dawa za aina mbili, moja ni make him love me & marriage spell ili kumfanya anipende kama mwanzo na tuendelee na mipango yetu ya ndoa. 

Pili alinifanyia ile inayoitwa job spells ili nami nipate kazi kwa lengo la kuondoa manyanyaso ya mume wangu. Na kweli nilianza kupata kazi na hapo ndipo mpenzi wangu alibadilika na kuanza kunipenda na sasa tumefunga ndoa. 

Ikiwa unapitia kitu kama hicho, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya. 

Wengine wengi wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma zao. Basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao

Post a Comment

2 Comments

  1. Ushuhuda

    Nilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
    Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
    Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.

    Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:

    ✅ Maneno ya mapenzi
    ✅ Tahadhari za Ujauzito
    ✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
    ✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.

    📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
    📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159

    Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!

    ReplyDelete
  2. 🌹 Ushuhuda Wangu Kuhusu Dkt. Dawn – Mtu Aliyerejesha Nyumba Yangu na Furaha Yangu

    Nataka kushiriki ushuhuda wangu wa dhati kuhusu jinsi Dkt. Dawn alivyobadilisha maisha yangu kabisa.

    Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na alikuwa ameenda kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.

    Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwangu — na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.

    Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.

    Lakini si hayo tu — Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyokuwa ikizunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.

    Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote — huzuni, bahati mbaya, au mkanganyiko — usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.

    Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
    Barua pepe: dawnacuna314@gmail.co

    ReplyDelete



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI