Header Ads Widget

MOTO MKUBWA WATEKETEZA MABANDA YANAYOUZA NA KITENGENEZA SAMANI ZA MBAO KATIKATI MJI WA MOROGORO....

MABANDA kadhaa yanayohusika kutengeneza na kuuza bidhaa za samani ya Mbao yaliyopo mtaa wa Ngoto, kata ya Sabasaba katika manispaa ya Morogoro jirani na baa na hoteli maarufu ya Tax Palace yameteketea kwa moto sambamba na   nyumba kadhaa baada ya kuibuka kwa moto mkubwa ambao chanzo chake bado  hakijajulikana mara Moja



 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI