Mchungaji kagoma kutufungisha ndoa baada ya kupima afya!
Naitwa Ashura kutoka Kibaha, ni mama wa mtoto mmoja, kwa bahati mbaya sana niliachana na baba yake kutokana na sababu ambazo zillikuwa nje ya uwezo wetu maana mimi na mwenzangu tulishindwa kusuluhisha tofauti zetu.
Baada ya kuachana naye hapo katikati nikahangaika sana na mahusiano mapya lakini kwa bahati mbaya sikufanikiwa.
Nimepitia vipindi vigumu kwa kweli kama mama ambaye nalea mtoto mwenyewe. Nisingependa kusema yote, ila ni magumu mno.
Nishapeleka mpaka mwanaume nyumbani nikijua atanioa lakini akanikimbia. Tulivyotoka nyumbani hakutaka hata kupokea simu yangu na paka leo sijui sababu ni nini ila niliacha yapite kama mengine yalivyopita.
Baadaye nikawa kwenye mahusiano na mtu ambaye kiukweli alinipenda sana na alinisaidia kwa vingi mpaka nikasahau shida zangu ambazo nilipitia hapo awali.
Tulivyokaribia kufunga ndoa nilimwambia tukapime Ukimwi na ndipo shida ilianzia hapo.
Kiukweli hata hakuleta ugumu, alitoa ushirikiano wote tu ila majibu yalikuja kutoka kuwa yeye muathirika na mimi ni mzima.
Nilishtuka sana na iliniumiza sana kwakuwa yeye alikuwa tofauti na wanaume ambao nimewahi kuwa nao, hivyo niliamua kuendelea nae.
Niliwashilikisha wazazi wangu walikubali maamuzi yangu ingawa mwanzo waliweka ngumu.
Huwezi amini, kikwazo kikawa kwa mchungaji wa kanisa letu. Mara ya kwanza alikuwa anasapoti vizuri tu ndoa yetu ila baada ya kuja kumwambia ni nini kimetokea kuhusu majibu yetu.
Aligoma kutufungisha ndoa na kuwaambia ndugu zangu wengine wakatae.
Mwisho wa siku ndoa yetu iliondolewa katika ratiba ya kanisa.
Kwa zaidi ya miaka miwili tulizunguka huko na kule ili kufunga ndoa yetu ila tukawa tunagonga mwamba. Ni jambo ambalo liliniumza sana na kunifanya nijione kama sina bahati na mapenzi.
Baadaye mimi na mpenzi wangu tulipata habari kuhusu Kiwanga Doctors kuwa anaweza kutusaidia, basi tulifunga safari hadi Migori, Kenya ili kuonana naye, kufika huko tulipokelewa vizuri.
Tulimueleza shida yetu, baada ya kutusikiliza kwa makini na aliamua kutufanyia marriage spell na kutupatia magic ring na kutueleza baada ya muda mfupi tu mambo yataenda kuwa sawa na kweli hazikupita hata wiki mbili tukafunga ndoa.
Wengine wengi wamepata uponyaji na furaha kupitia huduma zao. Basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao.
0 Comments