Header Ads Widget

MEZA YA MAGAZETI J4 MACHI 18 /2025:KESI YA MAUAJI KATIBU CCM KILOLO YAPIGWA KALENDA ,WAKILI UTETEZI AIANGUKIA MAHAKA,ASKOFU KKKT DAYOSISI YA SINGIDA ASIFU UJENZI KANISA KKKT DAYOSISI YA MUFINDI

NA BERDINA MAJINGE, MATUKIO DAIMA MEDIA 

Kesi ya mauaji ya aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Christina Kibiki imeahirishwa hadi machi 24  mwaka huu kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kutokamilika.

Akiahirisha kesi hiyo Hakimu mkazi wa  Mahakama ya Wilaya ya Iringa Rehema Mayagilo amesema kuwa kesi hiyo utakuja March 24 katika mahakama hiyo kwa ajili ya kutajwa kutokana na upande wa jamuhuri kutokukamilisha upelelezi wake.

kwa upande wa Mawakili wa Jamhuri  Radhia Njovu na Cecilia Mrisho uliiiomba mahakama kuahirisha kwa kesi hiyo kutokana na kuendelea na upelelezi ambao bado haujakamilika.

Upande wa utetezi unaowakilishwa na Barnabas Nyalusi, kutoka kampuni ya Mawakili ya BLS  Attorney &Partner ameiomba Mahakama kuhimiza upande wa jamuhuri kukamilisha upelelezi kwa wakati ili kesi hiyo ianze kusiskilizwa.


Waliofikishwa Mahakamani hapo ni pamoja  Boniphace Yohana Ugwale ambae ni diwani wa kata ya Nyanzwa Kilolo   Kefa John Wales,Silla Johnson Kimwaga,Boniphace Yohana Ugwale  ,Willy Gerald Chikweo na Hedikosi Gwerino Kimwaga kwa pamoja wanashitakiwa kumuua Christina Kibiki.

Washitakiwa  hao walitenda kosa hilo la mauaji Novemba 12 mwaka 2024 katika Kijiji Cha Ugwachanya wilaya ya Iringa Vijijini.

Washitakiwa wamerudishwa rumade hadi machi 24 mwaka huu itakapoletwa kwaajili ya kutajwa tena.

 



Siamini, yaani mdogo wangu kalala na mke wangu! 

 Jina langu naitwa Mama Halima kutoka Lushoto, Tanga, nipo katika ndoa kwa miaka zaidi ya 17 sasa na ninaishi vizuri tu na mume ingawa zipo changamoto ambazo ziliwahi kukaribia kuivunja ndoa yangu. 

 Moja ya changamoto hizo, ni mume wangu kutembea na mdogo wangu ambaye alikuja nyumbani kwangu kunisaidia kipindi cha uzazi wa mtoto wangu wa mwisho ambaye ni wanne katika ndoa yangu.

 Binafsi sikuwahi kufikiria kuwa kuna siku mume wangu au mdogo wangu ataweza kufanya kitu kama hicho ila ndio hivyo binadamu ni kiumbe dhaifu na muda wowote kinabadilila kutokana na mazingira. 

 Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya mimi kwenda kujifungua, nilimuomba mdogo wangu aje kunisaidia kazi za hapa nyumbani na kwel alikuja kisha mimi nikaelekea hospitali. 

Niliwaacha watoto nyumbani pamoja na mdogo wangu, mimi na mume tukaelekea hospitali, baada ya kujifungua nilikaa huko kwa siku kadhaa na kuruhusiwa kurudi nyumbani. 

 Lakini baada ya kurudi nilikuta hali isiyo ya kawaida pale nyumbani, mume wangu na mdogo wangu walikuwa wamezoeana sana kiasi kwamba nilianza kuhisi kuna kitu kati yao lakini sikuwa na wasiwasi kabisa. 

 Sikuwa na wasiwasi maana mume wangu nilikuwa nimeshamfunga au kumkinga dhidi ya kutoka nje ya ndoa yetu na dawa kutoka kwa Kiwanga Doctors, hivyo nikawa nasubibiria kuona ni kitu gani ambacho kinatokea. 

 Baada ya kama wiki moja, nikiwa chumbani kwangu namnyonyesha mtoto nilisikia kelele kutoka nje nyuma ya nyumba yetu, niliamua kutoka nje na nilipofika nilimkuta mume wangu na mdogo katika hali ya kutatanisha sana. 

 Walikuwa wamenasiana wakati wakifanya usaliti wao dhidi yangu bila kuwa na aibu yoyote, sikuamini na sikua najua nini cha kufanya kwa muda ule maana tayari majirani walianza kumiminika katika nyumba yangu. Nilichukua simu na kuongea na Kiwanga Doctors na kumueleza jambo na yeye alitoa maelezo ya kitu gani cha kufanyika. 

Tangu siku hiyo mume wangu amekuwa na heshima kwangu na mdogo wangu ananiogopa kupita maelezo ingawa nimeshamsamehe. Kama unahitaji kumkinga mume wako au mke wako, basi wasiliana mara na Kiwanga Doctors kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI