SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME MAENEO YOTE YA TUNDUMA MOMBA NA MBOZI
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Songwe linawaomba radhi wateja wake wote wa maeneo yote ya Tunduma momba, Mbozi kwa kukosa huduma ya umeme kuanzia majira ya saa 7 usiku
SABABU : Kuna gari aina ya Harrier imegonga nguzo ya laini kubwa maeneo ya Senjele Mbozi na kusababisha umeme kukatika.
Tunaendelea kushugulikia ili kuweza kurejesha huduma ya umeme
Wasiliana nasi kwa simu kwa namba ifuatayo ya
Kituo cha miito ya simu 0687 651414
Imetolewa na:
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA - SONGWE
20/03/2025
0 Comments